Marahaba mremboshikamoo Mjep
Umeamka salama?
Marahaba mremboshikamoo Mjep
Usipige kelele tuko jumuiaJumuia huendi
sabato huendi
mazoezi huendi
Da...umelala tu
nimeamka vyema na wewe ?Marahaba mrembo
Umeamka salama?
Nami niko salamanimeamka vyema na wewe ?
Sina picha mpya chiefNami niko salama
Selfika tuone kama umeamka salama kweli
Nani anakufungia unapotea hivyosumbai umemisika I know uko busy sana, siku moja moja pitia hapa...
Antonia cocastic Tinsley Lizzy kiduku mpapaso Kapachino Carrasco putin Shimba ya Buyenze mtu chake National Anthem nawapenda
I'ts weekend tunaweka shida chini, tunanyanyua mikono juu![]()
Bwanaee leo nimekuotea kiduchuNimeachwa sitaki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo muziki kwa mbali
Jimbo liko wazi sema....
Unanitaka? Eti unanipenda basi...
Hela yako nainywea pombe... View attachment 2480321
Nyie jisong lina vibe la peke yake, na ukiwa na watu wana mivibe acha mnakeshaaaa
Nitarudi kwa pics, ngoka nilale kidogomuache kutongozana na kuongea sana, wekeni maselfie dada mkubwa kasema
![]()
UmependezaNimeachwa sitaki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo muziki kwa mbali
Jimbo liko wazi sema....
Unanitaka? Eti unanipenda basi...
Hela yako nainywea pombe... View attachment 2480321
Nyie jisong lina vibe la peke yake, na ukiwa na watu wana mivibe acha mnakeshaaaa 🥂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nitarudi kwa pics, ngoka nilale kidogo🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 muache kutongozana na kuongea sana, wekeni maselfie dada mkubwa kasema 😂😂😂😂😂😂😂
Sana love Lenie si nimekesha kiutani utani tu. Tunaenjoy ila 💃💃💃Saa zingine kumbe usiku ni mrefu kuliko kawaida😂😂
Asante kipenzi sophy27 😘😘😘Umependeza
Ulikua night shift sio
hahaha makubwa . Haujambo Poker .Tinsley umeshaamka au bado upo na Carrasco putin unamfinyia kwa ndani mpaka amesahau leo ni sabato.