Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeachwa sitaki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo muziki kwa mbali
Jimbo liko wazi sema....
Unanitaka? Eti unanipenda basi...
Hela yako nainywea pombe... View attachment 2480321
Nyie jisong lina vibe la peke yake, na ukiwa na watu wana mivibe acha mnakeshaaaa 🥂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nitarudi kwa pics, ngoka nilale kidogo🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 muache kutongozana na kuongea sana, wekeni maselfie dada mkubwa kasema 😂😂😂😂😂😂😂
vitu avipendavyo kapachino!
 
20230114_095727.jpg
 
Back
Top Bottom