Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

JE WAJUA TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA (TEWW) AMBAYO IPO CHINI YA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUPITIA MRADI WA SEQUIP INATOA NAFASI KWA WASICHANA KUSOMA ELIMU YA SEKONDARI BILA MALIPO. MASOMO YATAANZA TAREHE 16/1/2023 KATIKA VITUO VYA TEWW VILIVYOPO KATIKA MIKOA YOTE 26 YA TANZANIA BARA. SIFA YA KUJIUNGA.
1. AWE MSICHANA MWENYE UMRI WA MIAKA 13 HADI 21
2. AWE MSICHANA ALIYEKATIZA MASOMO YA ELIMU YA SEKONDARI KWA SABABU MBALIMBALI IKIWEMO KUPATA UJAUZITO
Kwa mawasiliano katika kila mkoa piga simu namba zifuatazo
1.DSM 0754341933
2.ARUSHA 0762171198
3.IRINGA 0765721100
4.PWANI 0676261317
5.TANGA 0687947644
6.NJOMBE 0755634543
7.DODOMA 0717070070
8.KAGERA 0754092511
9.LINDI 0712523283
10.KILIMANJARO 0717441255
11.MARA 0763505340
12.MBEYA 0756585641
13.MOROGORO 0762711719
14.MTWARA 0784364820
15.MWANZA 0782293912
16.RUKWA 0754219369
17.RUVUMA 0754953249
18.SHINYANGA 0784756591
19.SINGIDA 0657849135
20.GEITA 0713673122
21.SIMIYU 0743206106
22.KATAVI 0743206106
23.SONGWE 0715506076
24.MANYARA 0755362222
25.TABORA 0672398739
26.KIGOMA 0717125885
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIA UNAWEZA KUWASILIANA NA MRATIBU WA MRADI WA SEQUIP WA TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA KUPITIA NAMBA 0766968470


Fursa hiyo tuchangamkie na tuwafikishie ujumbe wengine.
 
Back
Top Bottom