Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,313
Happy New Year tooo babegirl!!Wife material kabisa😂 Happy new year guys😍
Ulipendeza 😘😘😘
Happy New Year tooo babegirl!!Wife material kabisa😂 Happy new year guys😍
huko sijapita ebu nitag shangazi 😊😊Arosto kareeeee mjombaa! Ulipitia zile nyingine za " walichomfanyia yule mchawi na aliyofukuzwa na dingi hom baada ya kufeli six????
financial services vipi umemaliza ile kitu, nataka nije kukuletea zawadi ya 2023 ghetoHappy New Year tooo babegirl!!
Ulipendeza 😘😘😘
Asante aunt mapishi ya January ni tia maji tia maji 😀selfie kesho aunt huonekan coca kakufungiaAunt yangu mzuri mzuri
Niko poa, umemisika kweli
Ka selfie kahusike tafadhali
Ila hiyo misosi aunt ni hatari sana
Dear Ex naona umenogaWife material kabisa😂 Happy new year guys😍
acha nijaribu kumuazima Pellaiah wake kama atakubali na mie nivimbeHuyo mwamba kama Mswati yani kila angle anakaba 😀 naona kashakuwa mzee wa United States sasa
huko sijapita ebu nitag shangazi 😊😊
Masta noma sana ngoja nizitafute nikutag ..alianza na ya mchawi kisha ya kufukuzwa hom hii ya Maya ni ya 3huko sijapita ebu nitag shangazi 😊😊
Asikuchanganye huyo mkuu, nazushiwa sina hili wala lile mkuu.Huyo mwamba kama Mswati yani kila angle anakaba 😀 naona kashakuwa mzee wa United States sasa
arosto hizo , kuna watu kila saa wanachungulia kule 😀😀😀 wameweka kambiMasta noma sana ngoja nizitafute nikutag ..alianza na ya mchawi kisha ya kufukuzwa hom hii ya Maya ni ya 3
Namie zawadi Yangu ya twenty twenty threee mjombaa😌😌😌!financial services vipi umemaliza ile kitu, nataka nije kukuletea zawadi ya 2023 gheto
Hahahah ni maneno ya kizushi tu niyapuuze au sio 😀Asikuchanganye huyo mkuu, nazushiwa sina hili wala lile mkuu.
Vitu vya masta konki sanaa mjomba!! Amesema akimaliza hii anashusha ya sababu za kufeli six kisa Mtoto wa kitangaaa😁😁😁!arosto hizo , kuna watu kila saa wanachungulia kule 😀😀😀 wameweka kambi
Yapuuze mkuu, nipo hapa kufurahi na wadau, haya mambo ya kuwekana nawaachia vijana wasongeshe!Hahahah ni maneno ya kizushi tu niyapuuze au sio 😀
zawadi ya 2023 ipo njiani soon.. itafika au nisubiri kijacho ndio akupokeleee 😀😀😀Namie zawadi Yangu ya twenty twenty threee mjombaa😌😌😌!
Ulitaka kula saa 12???umechelewa kupika, na njaaa sasa.. ulienda kuzurula eeh
Shikamoo kakaYapuuze mkuu, nipo hapa kufurahi na wadau, haya mambo ya kuwekana nawaachia vijana wasongeshe!
Mgeni gani??🙄Cha mgeni kiko wapi