Best yako anaanza kunirubuni upya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipe ripoti dear nini kimetokea tenaaa best yangu Jack Palladino kunani??
Twakupenda pia mrembo [emoji7]Jamani muwe na mchana mwema na lunch njema...
Ngoja nitengeneze lunch hapa. Nawapenda sana [emoji8][emoji8][emoji8]
Mpaka tukuombe jmnKaribuni sana chakula wapendwa. [emoji6]
Shangaa naweweMbona gafla sana[emoji1787][emoji1787]!
Nimemfumania, sasa kama anataka kurudi kwako jua utalia pia. MkataeShangaa nawewe
Ya kuwa vividua wagonjwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba hawana tabia gani eti
Khakhakhaaaa.....labda kwako kipenzi mie doctors hapana aise nawaona tu walivyo. Hao ma injia hapanaaa . Endelea kutoka nao
Mh hakuna watu kama wale yaani ukikaa nao story zao utatamani mkeo asiwe anaenda hospitalYa kuwa vividua wagonjwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakubondaaaa nawee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khakhakhaaaa.....
Una misimamo yako konki sana unanikoshajeeeeee!![emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41]!
Umeambiwa injiniazz madokta wamenyooka ndio ufanye mpango hivoooo Mimi wakulimaa wangu wananitosha kwakweli [emoji1787]!
Tunaomba tupicha tumoja basiKhakhakhaaaa.....
Una misimamo yako konki sana unanikoshajeeeeee!![emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41]!
Umeambiwa injiniazz madokta wamenyooka ndio ufanye mpango hivoooo Mimi wakulimaa wangu wananitosha kwakweli [emoji1787]!
Mnawasingiziaaaa hapaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh hakuna watu kama wale yaani ukikaa nao story zao utatamani mkeo asiwe anaenda hospital
just normal guy with a decent livingUnawatakaaa wepi wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khakhakhaaaa...na Valentina mmenikumbusha kituuu.. wanasema ukiwa na mitara bora uweke gap kati yao yani wasipendane kabisa... wanawake wakipatana wakaakuamuliaa Alooooooohh Jack Palladino best unaloππππNimemfumania, sasa kama anataka kurudi kwako jua utalia pia. Mkatae
Wewe omba mungu ulimpata huyo maana wengine wanetu kabisaMnawasingiziaaaa hapaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wangu walikua smart sanaaa,
usilaze damuBest yako anaanza kunirubuni upya [emoji1787]
Best nikajua wewe ndio mtetezi wanguπ©Khakhakhaaaa...na Valentina mmenikumbusha kituuu.. wanasema ukiwa na mitara bora uweke gap kati yao yani wasipendane kabisa... wanawake wakipatana wakaakuamuliaa Alooooooohh Jack Palladino best unaloππππ
Mbona anawajua wakuryaHuendi kokote, ungeuliza kwanza kabla ya kuingia kwa Wakurya. Wigelekelo hebu muelezee vizuri huyu ndugu yako.
Usijareee kabisaaaa chagua niweke part gani ππ!Tunaomba tupicha tumoja basi
Ukiachwa achika[emoji1732]Wigelekelo anafanya sherehe huko na mwenzie Glenn
Mkuu nimekubali kwa roho safi...Nipo single now!πUkiachwa achika[emoji1732]
Uholanzi hiyo mwanawane[emoji1787]
Kuwa mpole tu
Sent from my TECNO BD4h using