kuna siku ilikua likizo, wakat nipo 1St yr naelekea 2, sasa nlienda dukani, kumbe alinionaa, akanizibia njiani cna hili wala lile, nashangaa ghaflaaa nashkwa mkono kugeukaa ni yeye nilivyo choropokaaaaa
cjui alichekajeeeee yule kaka. Yaan nlitimua mbio km nimeonaa kitu chaa ajabu.
Mie ujanja wangu woteee kwa mjedaaa, naufyataaaa haswaaa.
Wee huyo usimtaje kabisa hataki, kuna kitu niliandika jana naona kilimchoma mkuki. Hataki huu utani tena.
Hapa hutoki, atakuja mume mwenzako utakuwepo. Mtakuwa wawili halafu wote ndugu.
MMh kwanza sijaona popote uliponiudhi.
Utani nauweza sana kuliko mtu yeyote humu ndani na niko peace sana na kila mtu hadi sasa.
But kila kitu kiwe na kiasi.
Utani ukizidi unaharibu.
Pia huwa wanasema; A good dancer knows when to leave the stage.