Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,903
Kabisahahha maandalizi muhimu
nimekunywa ile yenye maziwa duh ni kali
Roho mbaya tuDah hiyo hapana love. Maalumu kwa mtu mmoja tu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Popo kanyea mbinguAlikua anatumia username gani Kwani???
Marahaba mdogo wangu
UmemsanuaThats ma genius kurya Babegirl[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]!! Una akili sana dear unajua kutegua mitego[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji8][emoji8][emoji8]
Babu yako'Halafu hii tabia ya kujiita babu babuu humu hiii[emoji848][emoji848][emoji848]![emoji16][emoji16][emoji16]!
nilitaka kujua ladha yake aise nimekoma
hahaha nimeelekezwa na washikaji . Kuna kavu pia aisee .
Sijui kama itakubalikaSasa utanilinganisha na nyie vitoto vya jana, sophy27 nishamuweka sawa, naenda Tanga kupeleka barca ya posa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Marahaba mdogo wangu
Bila shaka uko poa
Achana na Wige mhuni huyo
Wakatili sana, nia sijui wasiwe wanapenda naona...ah kumbe
ndo hicho kinakatwa dah
wanafanyiwa wenzao vibaya wasisikie raha dah .
umeamkaje sweetie ?
Acha roho ya kwanini ngosha, hutaki ziwekwe kwenye kisosi? Hawa watanga ni hatari ujue🤣
Wewe kweli mkurya[emoji1787]Wakatili sana, nia sijui wasiwe wanapenda naona...
Unajua nyumba Ntobhu?
Si unakujaAcha roho ya kwanini ngosha, hutaki ziwekwe kwenye kisosi? Hawa watanga ni hatari ujue[emoji1787]
mila mbaya hizo dah ... Naifahamu nyumba ntobhu , ke anaenda kuoa mwanamke ili apate watoto dah . Sijawah kuielewa hiiWakatili sana, nia sijui wasiwe wanapenda naona...
Unajua nyumba Ntobhu?
Sipendi wanavyodharau watoto wa kike dah . wanaonewa dah . nimepitia changamoto tulizaliwa ke tupu . maneno yakawa mengiWakatili sana, nia sijui wasiwe wanapenda naona...
Unajua nyumba Ntobhu?
Wanakandamiza sana watoto wa kike, kwao mtoto wa kiume sijui ndiyo urijali!!!Sipendi wanavyodharau watoto wa kike dah . wanaonewa dah . nimepitia changamoto tulizaliwa ke tupu . maneno yakawa mengi
Mwanamke mwenye pesaaa/ uwezo wake anaoa mwanamke mwingine kwa Lengo la kumzalia watoto tu! kama sihasahau lakiniWakatili sana, nia sijui wasiwe wanapenda naona...
Unajua nyumba Ntobhu?