Haya bana. Ngoja nikale sambusa yangu maana tangu asubuhi tuko wote hapa tunasubirisha ugeuke. Halafu eti wimbo wa Mwana FA na AY. Mimi nawafahamu hao akina mwana FA?
Jioni njema mpendwa na ubarikiwe sana. Thanks for the jokes