Happy new year kwako pia mkuuNipo kamanda. Nasubiria mikutano ya kisiasa kwa hamu hasa siku dogo janja Tundu atakapokiwasha laivu jukwaani na Lema + Wenje huku Heche, Jongwe na Dijei mtoto wa kijijini wakiwepo. Patachimbika kishenzi yaani!
Happy New Year braza [emoji120][emoji2536]
View attachment 2477440
[emoji1787]Tena ulivyokaa ni kama vile unataka kushika maikrofoni dah! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mhola nkoyi?
Daah kisukuma ninakipenda balaa basi tu
hahahaha,duhUachwe mara ngapi?
Halafu nakuona unajibebisha kwa mahondaw
Mke wa mjeda
Mkuu mtu chake
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Shikamoo BabuTena ulivyokaa ni kama vile unataka kushika maikrofoni dah! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mhola nkoyi?
mwenyewe nashangaa,picha hkn mastory ya town tuHabari za jioni wapendwa, nimewamiss. Naona gurudumu la Selfika linaendelea. Jamani mbona picha zote nazikosa ππππ rudieni basi jioni π€π€π€π€β€
Sijawahi ona yako hata mkono tu weka best basi.mwenyewe nashangaa,picha hkn mastory ya town tu
hahaha,subiri kwanza,wenyeji watukaribishe na pichaSijawahi ona yako hata mkono tu weka best basi.
Kila siku jamani? Na wengine basi mselfike... tumekuwa tunapiga soga zaidi ya kuselfika. Ingekuwa kwa siku selfie hata 10 hivi ππππππhahaha,subiri kwanza,wenyeji watukaribishe na picha
Asante Mjukuu π€Tunakuombeaaa ukamilishe na kufanikisha babuu!!
Hio kofia hapo umeweka kubwa sana fanya kuipunguza utubariki wajukuu zako naked yako leooo π!
Very smarty granpa Umependeza sana! ππππβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ!!
Nzuri mjukuu.Shikamoo Babu
habari za leo ?
Hahaha...............hapa ni Mafao house yenyewe Mkuu π€ͺMbezi juani kwenye foleni ya mwendokasi
Imekuwa mafao house
Unatuonaje aisee
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
hahahaha,halafu nimemiss kuona ule unyweleKila siku jamani? Na wengine basi mselfike... tumekuwa tunapiga soga zaidi ya kuselfika. Ingekuwa kwa siku selfie hata 10 hivi ππππππ
Jana ulishauona au nigeuke?hahahaha,halafu nimemiss kuona ule unywele
itakua umefanya jambo jema sana,na utabarikiwaJana ulishauona au nigeuke?
Na Uzee huu Mkuu, unataka nifie kifuani kama Wazee wenzangu ππ€Έπ€Έ
Ukiweka yako tu, nami nageuka faster π€π€πitakua umefanya jambo jema sana,na utabarikiwa