Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mjep kashikika kakamatika hasikii wala haoni cocastic anakazi ya kuifinyia kwa ndani tu hata vocha haziwekwi tena jukwaani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakutanaaa na maufundi ya kingoni. Yaan anabaki kugumia km tractor lilokwama kwa majaruba ya mpunga.

Chezeaaaa weyeeeee watu na maujuzi yetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzeee alisabanishaaa muamalaa ile Siku nimefika tyuuuu nikaenda kununua Tv na vingine vya msingi kwanza unajua Bushiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]!!
Watu na wazeee weiituuuuuuu[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732](Ila haikuwa kizinga!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulale sasa

Kesho ukiamka

Uanze na zilee thithii Babu la mchongo

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom