Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha...............Vijana mna enjoy Sana maisha, imagine hiyo kushikwa umewekwa kwenye angle ya kitanda then aliyekushika ni shababi wa hivyo. Unaweza Kuta hadi majirani wanaamka kuhisi mnapigana ndani [emoji85][emoji1732][emoji1732]

Sisi enzi zetu ni style ya kumuua mende tu hadi tumezeeka hivi [emoji85][emoji125][emoji125][emoji125]
Aisee

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Antonnia baada kushindwa kulipa marejesho ya vikoba na kuzuga umeibiwa ili tukuonee huruma tunajua ulimkamata kibabu cha watu Grahams umemkwangua hela zake zote za pensheni ya fao la uzeeni! Kuwa na huruma mrudishie hata robo.
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣! Grahams nae pia wangu lol sio ERoni tena????😂😂😂! Kwa Misuli ileee Alooooooohh 🤣🤣🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!

Poka mi Jf siwaweziii mieeee 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣! Grahams nae pia wangu lol sio ERoni tena????😂😂😂! Kwa Misuli ileee Alooooooohh 🤣🤣🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!

Jf siwaweziii mieeee 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hizo ndio couple ninazozitambua hizo nyingine weka ❌ tonnia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana balaa sio dogo eti [emoji23][emoji23][emoji23]! Misuli ile tunawaza pale tu ni mkono.....Je kunako mzee wa kazi[emoji41][emoji16][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji848][emoji848][emoji848]???
Nimeacha uzinzi

Nimeokoka

Kwani misuli ndio inaashiria kunako kuko vipi?

Inaweza kuwa kibamia



Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom