Unakumbuka tuu enzi zile umekaaa pale k.koo madukani watu wanapita na gari na watoto wakali.Sikuhizi nakujaga pale getini magu host na park nachukua zangu namba mbili tatu; mshaleee.
Najisemea nilikuwa nawala kwa macho tu enzi zile napiga chato pori to mabibo;
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio wee, watoto wenzangu.Kwaiyo unatupenda dogo dogo Kama siye aka viben 10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah seriously???Unakumbuka tuu enzi zile umekaaa pale k.koo madukani watu wanapita na gari na watoto wakali.
Nakumbuka kuna Mwamba alimuona dem wake kabebwa kwenye gari pale kwenye zile halls za karibu na yombo 1&2.
Ilikuwa ijumaaa. Dem akazima simu Mwamba akanywa sumu aliponea kairuki hospital.
duh hatari sikuSimu 2000_mnazi mmoja
Mawasiliano ndani_kijazi interchange_riverside_external_mwananchi_buguruni_malapa_mtaa wa congo pale_na mnazi stendi hahaha Yani andaa buku buku na buku mbilli za kutosha.
Simu 2000_mnazi mmoja
Mawasiliano ndani_kijazi interchange_riverside_external_mwananchi_buguruni_malapa_mtaa wa congo pale_na mnazi stendi hahaha Yani andaa buku buku na buku mbilli za kutosha.
Nyinyi wamagetoni......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio mtoto wa kishuaa, afu mie mwenzenu mambo ya cafeteria hapanaaa. Nshazoea kula n home kwangu.
Hata shule O level na advance, mie nilikua nakulaa jioni tyuuh, mchana mara chache sanaaa.
Nshazoea kushinda kutwaa nzima bila kula, mwanzo wengi walijua na pretend kumbe ndo niko hvyoo sahv washanizoea.
Wambie wakupeleke Kwa mama kifusi upajue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acheni dharau bas nisizaliwe kwa kipii sasa.
Mmemaliza juzi juzi hapoo. Ndo mnajionaa wa zaman.lol
simple ile mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simple woman. Huna shida na mtu.
Seriously mzeee. Kuna raia bado Wana feeling[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah seriously???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyinyi wamagetoni......
Wazee wa kuishi kinyumba Muke na mume..chuo kikiissha tuu ndoa kwishney
Makubwaaaaa, LolSeriously mzeee. Kuna raia bado Wana feeling
Ukiwa kariakoo! Umetulia kwa fundi viatu yule; weekend Kama hii watoto wa hall three wanapishana tu.Unakumbuka tuu enzi zile umekaaa pale k.koo madukani watu wanapita na gari na watoto wakali.
Nakumbuka kuna Mwamba alimuona dem wake kabebwa kwenye gari pale kwenye zile halls za karibu na yombo 1&2.
Ilikuwa ijumaaa. Dem akazima simu Mwamba akanywa sumu aliponea kairuki hospital.
Aaaaah sidhan km kuna umuhimu sanaa, as long as sio muumini wa hayo mambo.Wambie wakupeleke Kwa mama kifusi upajue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi kuwa nao eti.Wamefariki au?[emoji16]
Hatareeeee.simple ile mbaya
Unakosa Raha za dunia na utamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie hapanaaa, cna mchumba wala mpenzi,
Mie mtawa.
Walienda kumalizana kule kwenye ofisi ya gender. SASA hivi huwa tunamkumbusha tuu kwenye wasap group anacheeka haaaminiUkiwa kariakoo! Umetulia kwa fundi viatu yule; weekend Kama hii watoto wa hall three wanapishana tu.
Hahaha hall 6 ile; inauma sio poa.
Dah demu alivyorudi Sasa ikawaje?
Unamkana genius lol 😅Hatareeeee.
Nishakuwa mzee tiyari!! Kweli miaka inakimbia;[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio wee, watoto wenzangu.
tuone picha ya uzeeNishakuwa mzee tiyari!! Kweli miaka inakimbia;
Hahaha ntakuwa napiga horniii nyingi;;duh hatari siku
ila wewe siku ukipita hapo ita kwa nguvu nisikie maana nayasikia mabusi