Sasa kwenye mtumbwi huu ulivokaoga utakaa kweliAisee hapana nawaogopaje..
beach boy mmoja huko Coco nilipiga makelele huko akaniambia dada wewe muoga sana .. utaweza endesha gari kweli ..alikuwa anaenda mbali tu .
@cocastic huyu mtoto WA kishua sidhani Kama analijua lile chimbo la coet kule.Yule dada white; mchaga flan Hivi nishakisahau jina.
Kuna kipindi Hali ilkuwa ngumi tukawa tunawazungukia wa pishi wa coet caftelia tunachanga jero jero na Wana Kama buku 2.
Iyo tandamu ya wali na nyama usipime kisha baada ya hapo unachukua kidumu chako enda ku download maji unaganga ya Kesho.
Ulikuwa hujazaliwa.Wakati gani huo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kupanda tu shughuli aiseeSasa kwenye mtumbwi huu ulivokaoga utakaa kweli
Hahaha ulikuwa hujazaliwa ati!Wakati gani huo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Hivi wanakula samaki samaki mlimani cityUlikuwa hujazaliwa.
@cocastic huyu mtoto WA kishua sidhani Kama analijua lile chimbo la coet kule.
Kapachino miaka yote sikuwahi kujua ule msosi mwingi kutoka chimbo la koet linapikwa na nan?
Hivi alikuwa haweki hamira Yule?
Aliwaambiaje?😍😍😍
last time tumeenda beach tukakutana na mpemba ametutisha huyo hahaaa mambo ya uchawi ..
Usisahau kunipitia tu jirani.Nimeelekezwa beach Bagamoyo huko na wana .. nataka siku niendapo kushangaa maji .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahha ulivyo fashionista wewe ukiniona utasema hiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwaka gan huo ambao sijazaliwa?Hahaha ulikuwa hujazaliwa ati!
Sasa mnakula maisha tu
Rb kwani bado mnatumia coca
Aliwaambiaje?
Beach gani
Aisee hapana nawaogopaje..
beach boy mmoja huko Coco nilipiga makelele huko akaniambia dada wewe muoga sana .. utaweza endesha gari kweli ..alikuwa anaenda mbali tu .
sawa jiraniUsisahau kunipitia tu jirani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio mtoto wa kishuaa, afu mie mwenzenu mambo ya cafeteria hapanaaa. Nshazoea kula n home kwangu.@cocastic huyu mtoto WA kishua sidhani Kama analijua lile chimbo la coet kule.
Kapachino miaka yote sikuwahi kujua ule msosi mwingi kutoka chimbo la koet linapikwa na nan?
Hivi alikuwa haweki hamira Yule?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acheni dharau bas nisizaliwe kwa kipii sasa.Ulikuwa hujazaliwa.
Yeah nyingi za ovyo aisePale coco wahuni Sana wale
Beach nyingi za bure bure ni ovyo.!
Huhuhuh ushanipa hamu ya kuvaa vyangu, mie rangi nyeupee.[emoji188]View attachment 2473120