Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilienda kwa rafk angu, ndo akasema twende Azam Cafe tukale lunch, ndo tukawakuta Kenneth na Tepsie. Nilikua namtazama mnoo had alistuka alipo nikazia jicho nka ogopa. Nkaachana nae.

Ni handsome balaaaaaaa.
Unavyowapenda wenye athletic body sasa 😆

How are you sweet cocastic
 
Good morning
Screenshot_2023-01-07-10-51-28-099-edit_com.instagram.android.jpg
 
hahaha balaa
jana nikaona type zako huku ...nikakumbuka

miss you
Nipooo hapa Magu hostel, nashangaa type zangu tyuuh

Ila UDSM kuna ma handsome, afu wana akili sasa. Woiiiiiiiih.

Namsubiri genius tuende library.
 
Ana upiga sana uyo mkenya mimi azam ndo chama Langu apa Tz
Hatareeeee, anabonda no 6 pale kati na anajua kuitendea haki.
Kiungo fundi haswaaaa, Kenneth mwenyewee kijana wa mzee Muguna. Hatareee sanaa huyo jamaa.
 
Back
Top Bottom