Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Usiku & Jioni...Cha usiku au cha jioni
Usiku & Jioni...Cha usiku au cha jioni
Nimekusubiri Sana John kijazi interchange ubungo bila mafanikio.Amen nawe pia ukawe mwaka wa baraka tele .
mie mbona nipo jamani
hii itakuwa nje aisee
Huyo nilishamscanwazee mpo vizuri
mnajua
Eti mlionekana ununioamefanyaje mjeda ??
😂😂Eti mlionekana ununio
Mkiwa kwenye mahabat mazito
cocastic na Antonnia walinipigia
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
SasaWige anatukandia sio poa
enzi hizo zimepita jamani .mama zetu tu hawajafanyiwa FGM .
Haya bana njoo uchukue kajuisi ka kumezeaUsiku & Jioni...
OvyooWewe jua tu huyo hatujaachana
Ni vile tuna kaugomvi ila soon tunakamaliza tena kwa mechi ya kibabe
WachaaJack Palladino I dedicate this song to you my love...
Love me like you do by Ellie Goulding... Enjoy![]()
Vizuri kakaHuyo nilishamscan
Hana baya
Kaka mkubwa nimeidhinisha
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Route ambazo hazina heka hekahii itakuwa nje aisee
Sijapita hapo muda sana .. naishia nyuma huko ..
Sasa hizi route yangu ni huku to Morroco .
Kidogo tu nitume kikosi cha maninja toka ngerengere kije kukunasua uko ulikokua umefichwa.

Nini tena?
Kwani mtu chake anasemaje?Amen nawe pia ukawe mwaka wa baraka tele .
mie mbona nipo jamani
tuamini tu kwa manenoSasa
Mfanye chap nithibitishe
Ili niiambie audience nitakayothibitisha
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Si unapenda vizee na vikongweVizuri kaka
huyu kaoa bhana
😅😅😅Eti mlionekana ununio
Mkiwa kwenye mahabat mazito
cocastic na Antonnia walinipigia
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app