Binti yangu unaujua upendo wa dad kwako usiniangushe kipenzi.
Ukimpata jambo la kwanzo umjulishe
Anti yako Chakorii amfanyie tathmini kabla haijanifikia mimi ee😂
Dogo kwanza jiandae kuzabwa makofi...
Ulivyo mdogo kila siku watakuwa wanakuokoto.
Huyo ni mkurya wewe ni kijana wa 7 kuolewa jiandae kwa aibu🤣🤣🤣 ERoni Bantu Lady Wigelekelo