Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha ukoo wetu watoto wa kike ni wengi kuliko wa kiume hivyo nina madada nina wadogo wa kike na nina mabinamu wa kike wa kutosha tu

Halafu kati ya wote hao hakuna aliyefikisha hata miaka 30 wala hakuna aliyeolewa japo wapo ambao tayari wana watoto na wapo ambao wameshachumbiwa tunasubiri kula pilau tu (nazungumzia wale ndugu wa karibu kabisa hasa upande wa mama)
Halafu unajiona kakubwa bila hata haya!!!
 
Mmeweka picha au maneno tu?
Hata picha za kudownload tunaruhusiwa?
20191118_185043.jpeg
 
jamani,, nimekumbuka kuna kaka nilisoma naye darasa moja alikuwa na mwandiko mbaya jamani yaani waalimu waliongea hadi wakanyanyua mikono na siyo kwamba eti tulikuwa wadogo hapo tulikuwa form five..

Mie mwandiko wangu ni mzuri lakini mkubwa sana yaani hadi kuna mwalimu aliwahi kuniuliza eti "hivi hadi kwenye necta utaenda kuandika mwandiko huo huo hebu punguza bwana" ila ndiyo sijawahi kuupunguza hadi leo nilishashindwa mimi
Watu kama nyinyi ndo huwa mnapanikisha watu kwenye NECTA. Maswali matatu unatumia Booklets 3 kumbe ni vile limwandiko lako likubwa unaishia wachanganya wenzako ambao ndo kwanza hata nusu ya Booklet hawajafika
 
Back
Top Bottom