Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Hahahaha hao wa hivyo kwa kweli ni malegendari
Yeah ndiyo maana wanasema tusikariri maisha maana ukubwa wa pua si wingi wa kamasi
Yeah ndiyo maana wanasema tusikariri maisha maana ukubwa wa pua si wingi wa kamasi
Haha! Kuna kichwa kimoja nimewahi kiona pale Udsm akili yake alikuwa anaijua mwenyewe. Imagine pepa ishaanza baada ya dakika ishirini ye ndo anaangaika kutafuta Venue. Baada ya nusu saa unakuta huyo anasimama anakusanya kikaratasi yake. Last to Enter, First to Leave.
Ishawahigi nikuta siku moja Ile Necta form Four mtihani wa Kemia, sijafika hata nusu ya Booklet nasikia kuna jitu linaomba booklet nyingine. Nikajiuliza nafanya nini humu ndani ? Licha ya kutumia booklet yangu i'm sure niliwapita wengi tu na mibooklet yao miwili.




