Nawapenda sana mimi, ngoja niwaachie uwanja! Nikipata kamuda nitakujaa!!
[emoji8][emoji8][emoji8]Tunakupenda pia wifii,kazi njemaa
Nakupenda pia[emoji7][emoji7]Nawapenda sana mimi, ngoja niwaachie uwanja! Nikipata kamuda nitakujaa!!
Kishepu
Hahaha.!!
Karma usinikumbushe hebu, nilikuwa nina akili shule ila mwandiko sasa!! Mwalimu akanituma nikanunue daftari, std 5 enzi hiyo, tukitoka class sessions na tuition, nabaki peke yangu kufundishwa kuumbwa mwandiko!!
Yule mama alijionea nisipoteze hichi kipaji bure akajitolea, MUNGU ambariki sana jamani, Leo sijui ningekuwa mgeni wa nani.!
Embu tupiamo yakwako nikuone jamani..
Punguza utani hujaachaga tu
Asante [emoji1780]
Yo missed
Mekumiss ujueee pia mdogo wangu mzuri mzuri!!
Busy na majukumu mdogo wangu! Mpaka sipati muda wa kukula!!
I love you more dan yesterday [emoji182]
Sijaona eti[emoji85][emoji85]mimi mbona nimeshatupia nyingi humu eti??
Ahsanteee sanaa kidogo dogoo
Upooo
Kidari cha mzee kiko wapi
Will miss you dear[emoji26][emoji26][emoji24][emoji24]pole na majukumu jamani,, I love you too dada yangu mzuri mzuri..