Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Una ha haHebu niache bana Glenn una nini lakini? So mimi unijue, halafu wewe nisikujue? Nicheck whatsapp please
Nimeshamjua na tunafahamiana vizuriiii. Haina shida maisha yangu hayana makandokando kabisa. Nimefurahi kwanza...Una ha ha
Inakuwaga tamu hiyo
Jamaa anakuchora tu
Unavyoneng'eneka[emoji1787]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ndio maana bantu ladyMixer na Congo na Zambia. So nimechukua kotekote...
Rangi ya hela kabisa hioIT'S THURSDAY!View attachment 2469533
Asante ndugu yangu hivi si ulisema wa nyumbani eeeh? kiduku mpapasoRangi ya hela kabisa hio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa yaan.Mtu atakusemesha bila kupenda[emoji16]
Ongezaaa sautiiiii dear!!!
Hamna sema nimekaa sana kanda ya ziwa kwa hio nawaelewa na watu wanajuaga mimi ni wa hukoAsante ndugu yangu hivi si ulisema wa nyumbani eeeh? kiduku mpapaso
Habari ya kuamka bibie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa yaan.
Hapana chezeaOngezaaa sautiiiii dear!!!
Wasikie na wengineeeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mashallah mtoto kutoka mara,IT'S THURSDAY!View attachment 2469533
Nimeamkaaaa poaaaa!! Vipi wee.Habari ya kuamka bibie
[emoji355]kaliii mnooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana chezea
mahaba yamekolea kati yenu ...
A match made in heaven
Mbantu kweli kweli😍IT'S THURSDAY!View attachment 2469533
Hahahaa unataka kuwa mwepesi 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaaaah, nna babee kila konaa mie.
Staki kufa na nyegee eti.
Uwiiiiih.
ni sharobaro au yukojeIla jaman chuoni kuna wanaume wa haja, leo asubuh nimepishanaa na mkaka yuko vile ambavyo mie napendaa, tukaishia kupeana hi.
Kwenda mbele kdg nkageuka kumtazama kumbe naye aligeuka kunitazama, tukagongana macho, aaah nkageuzaa shingooo huyoo zangu nlikokua naelekeaa.
Sijui yuko mwaka wa ngapi yulee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuko fire mtoto wa wamatengoNimeamkaaaa poaaaa!! Vipi wee.