kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,147
- 15,770
enjoy piaWabheja sana mkuu ngoja niende kwa master!!
Enjoy your evening wapendwa nilikuepo![]()

enjoy piaWabheja sana mkuu ngoja niende kwa master!!
Enjoy your evening wapendwa nilikuepo![]()

Bora umerudi!Nipo 😊😊
Nilikua break kidogo 🥴
Naona master kalivaa jini Alfwat😂😂!enjoy pia![]()
Linataka damu ! Alafu babu yule anadai alfwat lilimpenda ndo maana alipokosea masharti kule kwa mpemba halikumuadhibu ! Sadaka za damu mbaya, Bora mboga mboga na kabejiNaona master kalivaa jini Alfwat!
Mambo ya kunyonya damu tena analooo bora wa mboga za majani kuliko damu!
isijefika sehemu wakataka kumtoa sadaka mtoto wa watu huko kupendwa na majini sio kabisa!Linataka damu ! Alafu babu yule anadai alfwat lilimpenda ndo maana alipokosea masharti kule kwa mpenda halikumuadhibu ! Sadaka za damu mbaya, Bora mboga mboga na kabeji
Nakula kwaajili ya kuondoa Baridi tu, si unajua Uzee huu 🤗🏃🏃Naona ndoano imenasa
Sasa unajipiga Busta Ili usije kojoa upepo
Duh mwana una mbinu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Bado tunakuhitaji sana babu yetu tasavali ke waachie wazee makanjanja!! Hatutaki bibietu abakie mpweke sie pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Nakula kwaajili ya kuondoa Baridi tu, si unajua Uzee huu 🤗🏃🏃
Ukiwa Mzee kama Mimi then ukajidai unahusudu Ke lazima ukate moto kifuani.
Wacha nifaidi kwanza Pension yangu vizuri 🤗
Miss youWaambieeee dear,
Afu nimekumicc, ulikuw wapiiiii??
Ulipoteaaa sanaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
utakuwa pisi ya maana na id pia inasadifu .. wakuria hoyeeee 😍😍Yes wanahisi hivyo? Mimi ni mweupe pee pia but ukisema Mkurya wanakataa. Mara imebarikiwa kila kitu, wanawake wa Kichaga wameligundua hilo tumeoa kama wote...
amefanyaje mjeda ??
Wige anatukandia sio poaWige Wige unataka Jack Palladino anikimbie tu huna lolote.
kIzazi hiki hatufanyiwi hivyo, kampeni kibao za kukomesha hilo tendo.
Watu na wapenzi waoNimefika sweteee
Hapa sichomoki
Umeniwezaaa![]()



na badoUnafurahii 😅na bado
Wewe jua tu huyo hatujaachanaVita ni kubwa sana babe, ndiyo tuzidi kupendana waumie roho, wajinyonge, tuwazike
Ila koloni lako Valentina ndiyo kwanza hasikii haambiwi... shughulika naye, ni rafiki yangu kipenzi siwezi mfanya chochote![]()
We mpapu tu mtoto wawatuWatashindwa tu babe...navyokupenda haielezeki![]()
Naachaje sasaUnafurahii![]()
