cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172






Limbwata la ungonini mchezooo.
Ufundi na maujuzi mkoleni.
Wauweeeeeee!!!
Sent using Jamii Forums mobile app






Auuwiiiiiiii babuuuu 😋😋😋😋😋😋😋mate yamenijaaje mdomoni kwa kuona hizo korosho Hapaaa!View attachment 2468828
Enzi za Uzee wao Mfalme Suleimani na Daudi walipewa Mabinti Vigori kuwasaidia wasife kwa Baridi 🤗
Unfortunately, Wazee siye tumeambiwa eti tule Korosho kujikinga na Baridi, Wacha nizingatie Ushauri tu 🤪
Karibu uje nikuspoil
Tinsley akiamua kupotea anapotea kweri kweri!!!Waambieeee dear,
Afu nimekumicc, ulikuw wapiiiii??
Ulipoteaaa sanaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha......................kwamba Mimi na Wazee wenzangu hapa tutakuwa tunawashauri Vijana?Tunakupa cheo cha Babu mshauri selfika 😂😂!
Kam kauwaaaa kuanzia palizi hadi mavuno lazima wajukuu tuje kumsaidia bibi nyie mpumzike!!
Wachaaaa wweAuuwiiiiiiii babuuuumate yamenijaaje mdomoni kwa kuona hizo korosho Hapaaa!
Naomba unitumie mjukuu wako nazipenda sana Babuuu!
Nilizila sana likizo kwa bibi Tangu hapo mpaka waleo kama nimerogwa vileee masaa yote natamani korosho!!![]()









Cjui hata alienda wapii yaan mmmmhTinsley akiamua kupotea anapotea kweri kweri!!!
Ukija likizo Kijijini utakuta Bibi yako amekutunzia 🤗Babu mbona kunitamanisha hivo
Imeisha hiyo save the date!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mke wa pili tenaaa weeeehh!! mbona ulimkomesha babu ushauri Nuksi sana huo lazima heshima irudiiii kwakweli hakuna anaependa kushea babuu!!Hahaha......................kwamba Mimi na Wazee wenzangu hapa tutakuwa tunawashauri Vijana?
Sina hakika kama utapenda kushauriwa na Babu yako kwa aina ya Ushauri naotoa🤗
Last time Kuna Mjukuu alikuja kuomba ushauri eti Mke wake hamuheshimu kama zamani, nikamwambia Dawa ya Mwanamke ni Mwanamke.
Kwahiyo muolee Mke wa pili, Juzi huyo Mjukuu kaniandikia barua akinishukuru kuwa Mke wake tangu amwambie kuhusu suala la kumuolea Mke wa pili amebadirika na anampenda na kumheshimu kuliko awali 🤪🏃🏃🏃🏃
Ngoja niongee na Bibi yako akutumie kwa Basi 🤗Auuwiiiiiiii babuuuu 😋😋😋😋😋😋😋mate yamenijaaje mdomoni kwa kuona hizo korosho Hapaaa!
Naomba unitumie mjukuu wako nazipenda sana Babuuu!
Nilizila sana likizo kwa bibi Tangu hapo mpaka waleo kama nimerogwa vileee masaa yote natamani korosho!!😋
Yes wanahisi hivyo? Mimi ni mweupe pee pia but ukisema Mkurya wanakataa. Mara imebarikiwa kila kitu, wanawake wa Kichaga wameligundua hilo tumeoa kama wote...Wanahisi wakuria wote weusi dah ... hawajui kuna maji ya kunde na weupe pia .
Mie kwetu ndo mchovu .. nina ndugu wazuri weupe hao .
Niwacheeeeeeeeee😁😁😁😁!!
Fanya hivo babuu!!Ngoja niongee na Bibi yako akutumie kwa Basi 🤗
Hivi Kumbe Korosho zinaongeza Sperm count?Hao wahuni mzee korosho zinaongeza Sana sperms waliokupa wakutafutie na demu
WaremboFamilia imetoka huko majuzi kuzika, pako poa kabisa...
Hebu waambie Wakurya tukoje![]()