Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Usiniche babe hao wote nimewaacha now wana hasira na mimi. Ukiniacha watanicheka sanaπNakugawa ππππππ aisee kumbe unajijua kabisa...
Ngoja nitafute chaka jingine, hili halinifai πββοΈ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππππ€£ si kasema wengine amewaaacha we msikilize yeye tu hao wengine hawakuhusuuu banaaaπππ!!Nakugawa ππππππ aisee kumbe unajijua kabisa...
Ngoja nitafute chaka jingine, hili halinifai πββοΈ
Unataka mimi ndiyo nichekwe, siku unaniacha eeh? Ngoja nitangaze humu nani anataka kuwa namimi π€£π€£π€£π€£ Ili nipate nguvu ya kuondoka kwakoUsiniche babe hao wote nimewaacha now wana hasira na mimi. Ukiniacha watanicheka sanaπ
Nikuache wewe?haiwezekani kabisa. Ukitangaza utaniua kwa presha hapa!π©Unataka mimi ndiyo nichekwe, siku unaniacha eeh? Ngoja nitangaze humu nani anataka kuwa namimi π€£π€£π€£π€£ Ili nipate nguvu ya kuondoka kwako
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Unataka mimi ndiyo nichekwe, siku unaniacha eeh? Ngoja nitangaze humu nani anataka kuwa namimi π€£π€£π€£π€£ Ili nipate nguvu ya kuondoka kwako
Halafu luv ukanishauri ili niingie chaka. Huyu hafai nasikia mzabzab ana nafuu ati.π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππππ€£ si kasema wengine amewaaacha we msikilize yeye tu hao wengine hawakuhusuuu banaaaπππ!!
Kama kweli unampenda utamlinda asichekweπππππ€£π€£!!Unataka mimi ndiyo nichekwe, siku unaniacha eeh? Ngoja nitangaze humu nani anataka kuwa namimi π€£π€£π€£π€£ Ili nipate nguvu ya kuondoka kwako
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!! Uzuri Keshakupa taarifa kuna mmoja hajaja humu utaisoma namba!! Ni anaongeaaaa Wige akasome ππππHalafu luv ukanishauri ili niingie chaka. Huyu hafai nasikia mzabzab ana nafuu ati.
Najua anafatilia kwa makini sanaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!! Uzuri Keshakupa taarifa kuna mmoja hajaja humu utaisoma namba!! Ni anaongeaaaa Wige akasome ππππ
Namuangalia tuMsimu wa Kulipa Ada kwakwenda mbereeeee!!
Wigelekelo njoo muone mvuvi wako wa kimataifa na mbunu zake za kimafiaaahhh
Babuu nuksii sana wewee huongeagi sana walaaaaahhhh!
Hello granpa!
Uelekeo wa gate # 2
Simtaki Jack kabisa kama mambo yenye ndiyo hayo. Huyo tulikuwa naye World Cup kule najua...π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!! Uzuri Keshakupa taarifa kuna mmoja hajaja humu utaisoma namba!! Ni anaongeaaaa Wige akasome ππππ
Naona ndoano inataka kukunasaCheka utanue mapafu shossssssss!!
Grah nuksi sana huyoo yeee kutwa kupost mihelaaa tyu jamaniiii!!
Angekua ndugu yangu ningempiga vizinga mpaka ajutre kuwa na Ndugu ka mie!!
Namuangalia tu
Hapo kuna mtu kamlenga
Na nimeona ame like
Nuksi sana huyu mzee kijana
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Babu la mchongo anacheza na akili tyu hasumbuki!Namuangalia tu
Hapo kuna mtu kamlenga
Na nimeona ame like
Nuksi sana huyu mzee kijana
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Inaitwa gusa unase... anacheza na urimbo tu ππππBabu la mchongo anacheza na akili tyu hasumbuki!
Weeeeeeehhhh thubutuuuuuuu πππππ
Nimeona unavyoshobokaMorning love. Yaani umeniwahi, nilitaka kumuita Wige pia
Jamani my heart is broken into pieces!..huu ni msiba mzito Antonnia nisaidie kuongea na huyu mremboπ©Simtaki Jack kabisa kama mambo yenye ndiyo hayo. Huyo tulikuwa naye World Cup kule najua...
CC: Jack Palladino SIKUTAKI πππππ
Mzee wa IturiMambo vp wadau? Mwaka mpya unaendaje?
AiseeView attachment 2468315
Usiku mwema maanko ambao hamjaoa ujumbe wenu huo