Mkuu kumbe ume zoom duhMkuu chachi yenu ina pisi nzuri saana. Hapo upako upo mwing saan
Mkuu kumbe ume zoom duhMkuu chachi yenu ina pisi nzuri saana. Hapo upako upo mwing saan
@sakayo yupo kanisan anasemina.
Hahahah umeiona nini mdogo wangu....
Unfortunately sina dada ni midime tuMdomo kama wa dadaako aisee


Hahahaha nipo,, hamna huo ni wimbo unaitwa "23" wameimba Mike WiLL Made-It, Miley Cyrus, Wiz Khalifa na Juicy J, chorus yake ndiyo inaimbwa hivyo "Js on my feet"
Ooooh Sio poa hvo.. mwanaume hawezi fanana na keAti unasema nini joh sijasikia vizuri?? You are even cuter than me you boy!!
Au unataka hadi nikuambie ukweli kwamba umefanana na cousin yangu wa kike
Moja ya nyimbo zangu kali sana nikilewa nauchana mwanzo mwisho![]()
ameeeeeeeeeeen.Mkuu chachi yenu ina pisi nzuri saana. Hapo upako upo mwing saan



mkuu kama tupo wanawake wenye sura za kiume (za baba zetu) kutakosekanaje wanaume wenye sura za kike??
Ooooh Sio poa hvo.. mwanaume hawezi fanana na ke
Nime guess to from your nameCornwall if u mean Cornwall Uk hakuna weusi wengi hivyo nasema kwa sababu naifahamu na Babu yangu anashamba huko.
Basi nipite pasipo kukuuliza ni kwa nini japo sio ubinadamu kufanya hivyo. Uraibu wa huu uzi ni mkubwa sana, nashukuru Mungu baada ya kufanyiwa rehabilitation nikifanikiwa kuukimbia. Sijui ni nini kimenirudisha hapa tena?Mabaya sana usiniulize kwanini,, nimefurahi kujua u mzima ila na wewe naona uliamua kutukimbia kwa muda humu..



tena more than cute
Hebu ipe heshima sura ya kazi hiyo aisee. Does this deserve to be called cute ?
View attachment 1265277
Location basi ya huko kwenuNyumbani
It makes sense.. maybe nimefana na mama kwelimkuu kama tupo wanawake wenye sura za kiume (za baba zetu) kutakosekanaje wanaume wenye sura za kike??
Wanasema akutanae hakuchagulii tusi. Nami nikushukuru kwa tusi lako kwangu.tena more than cute



ni uraibu huo huo ndiyo umekurudisha,, uraibu wa huu uzi hautibiki hata kwa rehabilitation tujibebe tu..
Basi nipite pasipo kukuuliza ni kwa nini japo sio ubinadamu kufanya hivyo. Uraibu wa huu uzi ni mkubwa sana, nashukuru Mungu baada ya kufanyiwa rehabilitation nikifanikiwa kuukimbia. Sijui ni nini kimenirudisha hapa tena?