DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,513
Mguu mzuri saana huuu
Cigars!Nini hizo?
Nawasalimu Wana selfika[emoji4][emoji1431]View attachment 2465877
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui nani mkuu
[emoji7] Happy New Year sweetheart, ukawe mwaka wa mafanikio kwako.Happy New Year Kelsea [emoji8][emoji8][emoji8]
Amen... asante sana nawe pia Darling 😘[emoji7] Happy New Year sweetheart, ukawe mwaka wa mafanikio kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta kitu gani??na zoom mpaka pcha inapoteza uhalisia
Hi...Nakupa hi
Mambo habari ya mwaka mpyaHi...
Habari za mwaka mpya ni kama za mwaka jana tu...nothing new.Mambo habari ya mwaka mpya
Mkuu, weka lile shape. Mimi nilikaa karibu na wewe wedkap nilikuona vizuri, hawa jamaa hawakuona hilo bantu figa lako[emoji1787][emoji1787]Amen... asante sana nawe pia Darling [emoji8]
Thank you sis stay blessed ❤️
Nataka nimuone dada yang kwa ukaribu zaidi 🏃🏃🏃Unatafuta kitu gani??
😁😁😁Nataka nimuone dada yang kwa ukaribu zaidi 🏃🏃🏃
NilifungiwaHater
Nikifanikiwa nikuite nani uko paleee...!😁😁😁😁😁
Owwkey..ukifanikiwa utaniambia.