Selfika na JF: Snap it. Show it

Ah Ngonga pale nishafika hamna kitu,, nikukaribishe Matema au ukishindwa pale unaweza ukasogea kidogo ukapanda kwenye ile milima ya Livingstone ukatambike vizuri..
Ukitaka kujua nguvu ya tunguli za Ngonga we jiulize ilikuwaje msanii wenu Diamond Platinumz alishindwaje kwenda kufanya show Mbeya mjini kwenye maghorofa akakubali kuja kule kwetu Ngonga kwenye mashamba ya Mpunga, Kakao na Migomba ? Jibu ni tunguli lilikuwa na nguvu Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…