Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaishi Kwa mashaka sana Chakorii

Hii ni chit chat

IDs ni za kizombie

Nawasubiri hao panya waje huko ulipopataja

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Kwahiyo wao panya wewe paka si ndio🤣🤣safi🤛🤛

Wige kiukweli haipendezi kumtaja mtu bila sababu ya uhakika si Kwa sababu yangu…hapana ni Kwa sababu yao na wanaowazunguka hapa Jf..ninaimani kiutuuzima umeelewa.

Kuna watu wana wake humu na ninahamiana nao nje ya jf na tunawasiliana nao nje ya hapa so ikitokea umeandika kitu ambacho hauna uhakika nacho..huleta ukakasi nje ya jf.

Naimani wewe ni kaka mkubwa utanielewa kiutuuzima.

Nikutakie mwaka mpya mwema wenye mafanikio ndugu yangu🥂🥂🥂🥂
 
Aminaa kubwaaaaa babuuuu santo sana kutukumbusha!✌️
Nakwako pia babuu mwaka 2023 ukawe mwaka wa Mafanikio furaha amani na afya njema teleeeeee kwako! Wabheja sana
Leo funga mwakaa fanya kupita nakkedd basi tukuone Babu yetu nawewe!!😎
 
Babu yako Umri umenitupa Mkono Mjukuu 🙈.

Hapa nina picha ya first born wangu tulipiga miaka Ile tunaanza shughuli zetu za Uvuvi ziwani🤪
 
Wakuu wangu,

Mkawe na 2023 ile yenyewe kabisa, mafanikio katika kila mnachofanya kwa wema,
afya njema kabisa,
wenye kutaka wake mkapate,
wenye wahitaji wa waume mkapate, wenye kuhitaji watoto mkapate,
sisi tunaotaka pesa tuzidi kuzipata.

Zaidi sana, tuzidi kuhusiana kwa upendo. Niliyemkosea basi aniwie radhi sana voz mimi hata sio mgomvi🤣

Love you wote "wana-mapichapicha"
 
kipenziiii unakutwaa na jamboo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…