Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamaa angu ukiwa unaropoka make sure unauhakika πŸ’―.unaropokaga sana.
Usimharibie Lee humu ndani wala usiniharibie.

Nafikiri baada ya hii comment utafwatwa pm uthibitishe kuhusiana na Lee.

So hakikisha unaushahidi unaoeleweka ndugu yangu
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 jf raha sana
 
Jamaa angu ukiwa unaropoka make sure unauhakika
.unaropokaga sana.
Usimharibie Lee humu ndani wala usiniharibie.

Nafikiri baada ya hii comment utafwatwa pm uthibitishe kuhusiana na Lee.

So hakikisha unaushahidi unaoeleweka ndugu yangu
Unaishi Kwa mashaka sana Chakorii

Hii ni chit chat

IDs ni za kizombie

Nawasubiri hao panya waje huko ulipopataja

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…