Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
okayHaikuwa tz. Kwa majirani zetu hapo
panavutia sana
okayHaikuwa tz. Kwa majirani zetu hapo
ah wapiPisi kali!
Iya mwisho lol
mmmmh hamna lolote 😆😆.Hili balaa hili! hahaha mama alizaa
I
Verified pisi; no discussion nasemasasa mimi ndo najiona 24/7 .. hadi nacheka kwa kioo ...
Bado sana mpaka nishike hela chafu 😆😆😆Verified pisi; no discussion nasema
Haha alafu bado embe bichi Sana ujue; waweza lia na chumvi.mmmmh hamna lolote 😆😆.
camera Mkuu
nani embe huyo ?Haha alafu bado embe bichi Sana ujue; waweza lia na chumvi.
Emeen! Mungu ni mwema siku zote atajalia utashika tuBado sana mpaka nishike hela chafu 😆😆😆
AmenEmeen! Mungu ni mwema siku zote atajalia utashika tu
Haha si T uyo! yani bado mduchu; Kama ni gari ni Namba EBAnani embe huyo ?
mmmh mduchu wapiHaha si T uyo! yani bado mduchu; Kama ni gari ni EBA
BMP sawa lakini Naona kilometers hazijasoma Sana! Gari mda mwingi limepaki.mmmh mduchu wapi
nishakomaaa ni BMP
zishasoma mno lol 😆😆BMP sawa lakini Naona kilometers hazijasoma Sana! Gari mda mwingi limepaki.
Haha ntakuelekeza keshozishasoma mno lol 😆😆
zinahitaji service daily ...
nyie mnasomaje kwa picha 😅😅
bado haujarudi nyumbani ?
kesho utanielekeza wapiHaha ntakuelekeza kesho
Kuna sehemu nipo nawadau namalizia sikukuu! Japo mda si mrefu around 3pm ntasepa.
Basi poa enjoy your night kesho mungu aki bless