Bila shaka ni mchawi huyu
Ulikunywa nini T??najuta mie .. mie wa kukaa macho hadi sasa .. nilikunywa vipi kile kinywaji ..
Energy drink lolUlikunywa nini T??
Si Ulikua na mtu wa kukukampani lakini??? 😁😁😎😎!! 😁😁Energy drink lol
nimelala saa nane
siinywi tena
Huku tuko vizuri dear nisijue nyie huko!vipi mmeamkaje huko ?
Nilikuwa kenyewe na nimeamka saa kumi na mbili 😅Si Ulikua na mtu wa kukukampani lakini??? 😁😁😎😎!! 😁😁
Mungu mwemaHuku tuko vizuri dear nisijue nyie huko!