cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,296
Pambano limechanganya marehemu na walio hai.
Usiposhinda naandamana.



dada nimechekaaa sanaaa. UwiiiiiihSent using Jamii Forums mobile app
Pambano limechanganya marehemu na walio hai.
Usiposhinda naandamana.



dada nimechekaaa sanaaa. UwiiiiiihNaomba kulaaa nyamaaaView attachment 2456750View attachment 2456751View attachment 2456752
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nipoo Wigeee nina B wangu anitoshaa miee yuko fit kila idaraa!!!! No hekaheka enimoo!!







khaaaaahAiseeNa hapo sijaweka Cocoriko yenye Live band na ile Cocorkko nyingine ya Club & Lounge.
Sijaweka Mopao- Moshono
Sijaweka Blue stone- unyama sana hapo, ushuani yan, little expensive
Sijaweka Orlando yako 🤣
Sijaweka The Don
Sijaweka Viavia kwa wqzungu
🤣💃💃
Nipo njiani naenda kwa bro
En u also lekchalaaaaaaa,Merry Christmas!!!View attachment 2456913
Mbna kwangu hakuna hayo mauaaa.Duh haya maua waliyoweka jamii forum, imekuwa kama uchafu sasa, muda wote yanatembea
Yanaumiza macho .
Bado upo macho tu?
Thanks🍻
Ndo nimetoka kwenye pepa sio mda, yaan hata home cjafkaBado upo macho tu?
🤣🤣🤣
Pepa??