Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,247
- 90,429
hahahaha,nilijua akina anko juniaTupo mkuu ,, tunaelekea kusalimia watoto wa nje ya ndoa![]()
hahahaha,nilijua akina anko juniaTupo mkuu ,, tunaelekea kusalimia watoto wa nje ya ndoa![]()
Hao tunashinda nao kila siku Sasa zamu ya wenginehahahaha,nilijua akina anko junia
Evening beautiful T!! Miss youuuu😘😘kitanda kinajua kumbeleleza
hello ...
Kitanda bila mpenzi Bora ulale chinikitanda kinajua kumbeleleza
hello ...



hahahahaHao tunashinda nao kila siku Sasa zamu ya wengine
miss you too beautifulEvening beautiful T!! Miss youuuu😘😘
😆😆Kitanda bila mpenzi Bora ulale chini![]()
Niko vyedi sana kipenzimiss you too beautiful
habari yako ?
Vacation inasemaje
Looks tasty
It is 😋Looks tasty
Enjoy aiseeNiko vyedi sana kipenzi
Vacation iko cool dear nainjoy sana kubadili mazingira kiukweli!!!
kweli kabisa
mara mama mwenye mtoto kaja umpe siti hayo mambo hakuna .
hahaah ukamkaushia halafu wanajua tu utampisha ... anasimama pembeni yako kabisa .Juzi nimepanda mwendokasi,nimechoka wee halafu anaingia mama na mtoto.
Badala asogee kule Mbele kwenye zile siti zao, amepandia nyuma na anatuangalia usoni.
Kwa kweli sikupisha mtu .
Ngoja akupe muongozoBar Kali Arusha jina tafadhali
Mbingu utaisikia tuJuzi nimepanda mwendokasi,nimechoka wee halafu anaingia mama na mtoto.
Badala asogee kule Mbele kwenye zile siti zao, amepandia nyuma na anatuangalia usoni.
Kwa kweli sikupisha mtu .
pole aiseee hata sivioni mieDuh haya maua waliyoweka jamii forum, imekuwa kama uchafu sasa, muda wote yanatembea
Yanaumiza macho .
Vinatembea muda wotepole aiseee hata sivioni mie
naona theluji kwa chini tu
1. The HubBar Kali Arusha jina tafadhali