Babu
Grahams nimeitwa na
Wigelekelo nije nione unachotuma..
Eniwei…hicho unachomtumia
sophy27 usinisahau mjukuu wako.chagua…njia hii au ile.Kesho sikukuu babu na hapa niliposijielewi ujue.
Nyie wafanyakazi angalau mko na uhakika
Fanya mjukuu wako nifurahie sikukuu babu