Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Kwa kweli kuna aina ya utani ukizidi ni haupendeziSasa Kama Ni poker mbona alikuwa mtu mstaarabu Sana,nini kimemkuta Hadi akaamua kujiita Hilo jina la hovyo na avatar ya kudhalilisha?
Mnyonya Mbususu una shida gani mkuu? Mbona ulikuwa mtu poa sana? Au unanusa gundi siku hizi inakulewesha..!?
Nipo hapa Iwalanje njia ya kwenda TukuyuLol santo sana Satoh sema mie sipo Dar Mkuu!! Huko kuna kina cocastic Tinsley Saint Anne Carrasco putin Poor Brain nawengine wengi!!
Kutaneni mfurahi pamoja wapendwa!!
Umenikumbusha mbali sanaBaada ya kumaliza parizi ya shamba.
Kama kawaida yetu nikipata chai na ugali.
View attachment 2455447
Tena wewe nakuaminia
Hapa nakosa ile emoj ya kimtu kinalamba pipi
Satoh Hirosh hilo jina lina ubaya gani mkuu?Sasa Kama Ni poker mbona alikuwa mtu mstaarabu Sana,nini kimemkuta Hadi akaamua kujiita Hilo jina la hovyo na avatar ya kudhalilisha?
Mnyonya Mbususu una shida gani mkuu? Mbona ulikuwa mtu poa sana? Au unanusa gundi siku hizi inakulewesha..!?
Ahsanteeeeeee babuuuu kwa maneno yako ya faraja na hekima.Take it easy mjukuu...mambo hayako complicated kihivyo. Kwa sisi wazee tumeona mengi sana na hakuna cha kutubabaisha tena. Hata leo hii nikienda hospitali nikaambiwe nina terminal disease au sijui Mama E kaamua kunipiga chini ni poa tu yaani...
Usijipe shobo kwenye maisha ya watu. Jua nafasi yako kwao na chukua tahadhari...yaani linda moyo wako!
Cheza kwa kufuatisha mdundo wa ngoma ya maisha yako na yao...
Wakionyesha dalili za kutojali wewe weka skweadi kabisa ili muende sawa!
Maisha yako ni yako na uko responsible kwa asilimia 100%. Usilaumu mtu!
Hakuna mtu mwingine aliyezaliwa hapa duniani ili aje kukupa furaha, kukusaidia na kukupa mafanikio. Huo ni wajibu wako 100%
Usitegemee cho chote kutoka kwa mtu ye yote na always tambua kwamba binadamu ye yote yuko capable kufanya cho chote kwa wakati wo wote bila kujali kama ni mzazi, ndugu, mwenza......
Homo Sapiens...kiumbe mtata huyu asiyeeleweka...leo anakujali na kukuthamini sana na kesho ushageuka adui.
Maisha - safari ya mzunguko wa mumo kwa mumo iliyojaa mapambano ya bandia yenye hatihati na unafiki mwingi....
Take it easy...
Zingatia!
Sijambo miee,. Wee uko poaaah.hahaha coca
kwa hiyo inategemea na siku
hujambo mama k ?
No , i dont
Unataka umalize madarasa yote nini kila siku unasoma. Haya bhana.
Hujambo lakini, habari za siku nyingi.
Pole sana
malecturer ndo walivyo nakumbuka Mzumbe muda wa chrismas ndo mnafanya supp zenu ... unafanya kwa uchungu hii ni kwa first year tu .
Tena wewe nakuaminia
Unampelekesha mjeda hadi maji
Aite MMA
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app