Niliangalia siriz late night usingiz umenikaba nikaona uvivu kuipeleka mezani do nikaizima nikala iko pembeni ya kitanda. . Hehehe kwanini nisiifanye mto!! Asubuhi kioo kimetabakaa mistari tu! Ili kuitumia mpaka niunganishe na TV.
Fortunately nina nyingine karibu tuangalie Angry Bird