Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
yeah maandalizi mema
yeah maandalizi mema
Tulia wewe Tofa[emoji23][emoji23][emoji23] uchawi umeanza lini we mwakipesile [emoji23][emoji23][emoji23]
Ubarikiwe
Naomba na ime ya Benjamin "Bow Down"
Ile ndefu sana.
Kuna nyingine inaishia tu kile kisehemu Cha consuming fire
Ewaaa 😍
🥰🥰🥰🥰Ewaaa 😍
Ndo maana nakupendaga
Huu wimbo wa Benjamin ndio the best kwangu kuliko nyimbo nyingine zote[emoji119][emoji91]
Sikiliza hili jiwe sasa 😅😅😅Huu wimbo wa Benjamin ndio the best kwangu kuliko nyimbo nyingine zote[emoji119][emoji91]
Jamaaa fundi sana asee[emoji119]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Poa AfisaSalam kwenu wadau...
Heshima yako chiefSalam kwenu wadau...
Mbona mahaba yamekua mengi hivi mpensi wangu🤭
🥰🥰🥰🥰🥰 nasikiaaa rahaaa mpenzi nakupendaje mamaaa yangu kipenzi.. yani wewe ndio mama yangu baada ya mama yangu mzaziMbona mahaba yamekua mengi hivi mpensi wangu🤭
😅😅😅
Inakuwaje sasa yani 😏😏😏