Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tanga uwa kunasifika kwa Mapishi ila mbona nimefika nakula mavyakula mabaya hayana ladha too much spices yaani daah hapana aisee.

Jana Mlenda umewekwa kitunguu swaumu nikashindwa kabisa kidogo nitapike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanapambiza hadi inakuwa kero.


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hivi tuwe tu wa kweli !! Ukipata shida ya laki 2 haraka sasa hivi unaweza kuipata kweli bila kukopa? Maana hali imekua dume [emoji2221]
 
FB_IMG_1670397765028.jpg
 
Back
Top Bottom