cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,093
Sijaonaaaaaaa puliiiiiizzzzzz.Nilikuepo wapendwaaa!!
Enjoy your evening [emoji8][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
kha nimekushindwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaaa siweziiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule za watoto wa kishua
Kumpost hapana akina Wigelekelo sio watu wazuri watapita nae,, nipe ubuyu Kuna nini kwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpost tumuoneeeeee,
Nimekumbukaaa kituii, ila watuuu lol.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha Safi tu mama mwisho wa mwaka tunajaribu vitu tofauti tofauti kupata new experiencesalama bro ,
maisha yanasemaje
Ubuyuuuuu upi huo?? Kwan brohz, naomba vochaaa, sijawahi kukuomba wee.Kumpost hapana akina Wigelekelo sio watu wazuri watapita nae,, nipe ubuyu Kuna nini kwani
okay dear
Ooh vyemaMaisha Safi tu mama mwisho wa mwaka tunajaribu vitu tofauti tofauti kupata new experience
Babe ake mtuHaipo!
Katoto ketu na Anna WigeeShule za watoto wa kishua
Wasiwasi wako tuKumpost hapana akina Wigelekelo sio watu wazuri watapita nae,, nipe ubuyu Kuna nini kwani
Hahaa mtoto atakufundisha na wewe lugha ya malkiaKatoto ketu na Anna Wigee
Nitakaleta hapo kasome
Ili kakirudi home
Kawe kanamchachafya mamake
Na gpa lake la udom
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ni vile Anne sijamuona in all angles Ila mama yako mdgo Ni mkali itoshe kusema hivoWasiwasi wako tu
Nakuuliza Tena
Je anamzidi Anna Wigee?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
YaaniHahaa mtoto atakufundisha na wewe lugha ya malkia
Kumbe unajua kakake, unatuchora hapa😂Yaani
Nianze kutema yai
This those that is Wigelekelo
Sijui Nimepata[emoji1787][emoji848]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app