Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20221220-183819_Spotify.jpg
 
Katoto ketu na Anna Wigee

Nitakaleta hapo kasome

Ili kakirudi home

Kawe kanamchachafya mamake

Na gpa lake la udom


Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Safi, kumbe tutapata Wajukuu Wasomi.

Kwa statement hiyo, nahaidi kukupunguzia mahari ya binti yetu kutoka milioni 15 iliyopangwa awali hadi milioni 2 na Ng'ombe 5 🤗
 
Safi, kumbe tutapata Wajukuu Wasomi.

Kwa statement hiyo, nahaidi kukupunguzia mahari ya binti yetu kutoka milioni 15 iliyopangwa awali hadi milioni 2 na Ng'ombe 5
Hadi uje kujukuu

Mimi nitakuwa na vitukuu

Ujue nini Babu la mchongo

Uvuvi wako ni ule wa sitaki nataka

Eti 'niletee miwani Babu yako'

Mbususu za humu nenda direct

Kwa mfano

cocastic mbona mwana tu

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom