cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
Huyo Antonnia shost ako ana date mgambo mapenzi moto moto





sasa anataka ulinzi imara. Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Antonnia shost ako ana date mgambo mapenzi moto moto





sasa anataka ulinzi imara. Nshazeeka mie, weeEmbu tuma basi jaman mtoto bado mbichi namba E kbsa ww






Next week natua Dar nakuleteaaa hadi mlangoniiiii😛😁😁!!
BLShika adabu yakooo ikushike na ushikamane wewe na adabu yakoo!! ! Toa laana zako hapaa!
Unazeeka na uzur wako kama bikra vile ww mtoto chuchu saa sita zimesimama kama ndizi mshale 😋
BL
Ukali wa nini
Kaongea hisia zake
Kwamba atakurahisishia
Safari ya uvinza
Sasa povu la nini tena?
Hapo nime imajini mnavyopelekana uvinza
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
💃💃🤸🤸🤸🤸🤸!!BL
Ukali wa nini
Kaongea hisia zake
Kwamba atakurahisishia
Safari ya uvinza
Sasa povu la nini tena?
Hapo nime imajini mnavyopelekana uvinza
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Rudisha post ya birthday!
Ila kakijanaNext week tutakua hapo Lugalo uje tuselfike na Jeshiiiii!!
Next week natua Dar nakuleteaaa hadi mlangoniiiii!!






wachaaaa wee ni mwendo wa kuzururaaaa tyuuh. Hebuuu hukooo naweee,Unazeeka na uzur wako kama bikra vile ww mtoto chuchu saa sita zimesimama kama ndizi mshale![]()





ntakusema kwa yolly yolly. Kanitolee laana miee na Vijana kas na kus!!
Nije lugalo nipigishwe push up nife ukifika dar nitafute Ila usije na huyo mgambo wako

Haipo!
Kanitolee laana miee na Vijana kas na kus!!






hutakii visharobaroooo Nakuyaaaaaa kushangaa shangaa kidogo!!🤣
Nitag
Nehiii Nehiiii!! Mie na vibabuu tyuuu🤣🤣