Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi cocastic

Pamoja na gpa yako ya 21

Unaweza ukaongea ngeli na Tinsley

Iliyonyooka maana huyo manzi sio poa

Ama ndio kama akina sisi

Ze ze nyingiii?

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Wige mie stakiii ujue?

Huyo tinsiee hata wengi humu hawamuwezi kwa ngeli, yeye kapita mabus ya njano had Chuo kikuu, sasa mie ni St kayumba had chuo, ntafananae kweli?

Nnacho cha kuandika na kujibia madesa basss,

Ngeliii mchezooooo. Lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisambaa ndo kizungu ?
Mimi mwenyewe bado najifunza ...
Anne yupo vizuri staa ajabu anaongea vizuri kuliko mie
Dada huna mpinzani kwenye ngeli.

Hata Genius naye anakibomoaaa balaaa, siku hyo tupo class akaanza ku flows woiiiiiiiih, nkawa had najisemeaaa halali atuburuzee tyuuh.

Afu kasoma Ilboru na Tabora Boys. Ila ngeli sasa. Hatareee kajaliwa aseeeeeh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wige mie stakiii ujue?

Huyo tinsiee hata wengi humu hawamuwezi kwa ngeli, yeye kapita mabus ya njano had Chuo kikuu, sasa mie ni St kayumba had chuo, ntafananae kweli?

Nnacho cha kuandika na kujibia madesa basss,

Ngeliii mchezooooo. Lol

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunao wadada kama watatu humu

Wanatema kinyakyusa hatari

Tinsley akasome

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Wige mie stakiii ujue?

Huyo tinsiee hata wengi humu hawamuwezi kwa ngeli, yeye kapita mabus ya njano had Chuo kikuu, sasa mie ni St kayumba had chuo, ntafananae kweli?

Nnacho cha kuandika na kujibia madesa basss,

Ngeliii mchezooooo. Lol

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wa kuhangaika na S Chand& Understanding halafu uje uhangaike tena na Linguistics unautoa wapi Coca?
 
Back
Top Bottom