Kuna kipindi Mungu anakufanya uwe mpweke ili akuhudumie...
Upweke ni mzuri sana kama utautumka vizuri.. fanya uwe hata unakuja pale , unasalimia salimia
Kupenda wake wenza mbona rahisi sana.. ni kuhakikisha mwanaume ana create mazingira ya lazima ya wote kuona wana umuhimu hata kwa ku create tatizo ambalo litawakutanisha na kila mmoja kumu appreciate mwenzake... Busy ndio nzuri ukiwa.mbali na bi mkubwa unakuwa karibu na bi mdogo mzani una balance vizuri kabisa