Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Wee sio uninunulie?😘😘😘 uje basi uninunulie cappuccino
Wanawake dhambi kununulia vitu wanaume
Wee sio uninunulie?😘😘😘 uje basi uninunulie cappuccino
Una fail hapo malkia 😊😊Wee sio uninunulie?
Wanawake dhambi kununulia vitu wanaume
Nina allergy 🤣🤣Una fail hapo malkia 😊😊
Unajishusha mwanamke mzuri na hodari kama wewe, mala moja moja una msuprise mwanaume 😊😊
🙄🙄🙄🙄Nina allergy 🤣🤣
Mimi huyu unanifanyia hivyo 🙄🙄Natafuta hela kwa tabu sana ujue😅
So nazitumia kwa adabu
Hahahaa naanzaje kwa mfano....Mimi huyu unanifanyia hivyo 🙄🙄
Usinidanganya basi 🙂🙂🙂Hahahaa naanzaje kwa mfano....
Nitakuja we andaa tumbo tu hapo chalii angu
Lini nimekudanganya mie jamaniUsinidanganya basi 🙂🙂🙂
😅😅😅 hujawai nidanganya saa kumi na hii hapaaaa 😘😘Lini nimekudanganya mie jamani
Wacha nimalizane na mpakistan nakuja😂😂😅😅😅 hujawai nidanganya saa kumi na hii hapaaaa 😘😘
🙄🙄 Mpakistan tenaaWacha nimalizane na mpakistan nakuja😂😂
12 juu ya alama nitakua eneo la tukio
Namfundisha kiswahili hapa, hofu ondoa🙄🙄 Mpakistan tenaa
🙄🙄🙄🙄🙄Namfundisha kiswahili hapa, hofu ondoa
Ndioooo🙄🙄🙄🙄🙄
😘😘😘 mwenye kitu chako uniqueNdioooo
The one and only... heheee😊😘😘😘 mwenye kitu chako unique
😋😋😋 wenye wivu wenywe dawa tatuThe one and only... heheee😊
🤣🤣🤣😋😋😋 wenye wivu wenywe dawa tatu