Kanisa litakuelewaje ?π π π bi mkubwa mzungu hana noma
πππ Huko ulaya sasa, msikitini tunao hadi wanneKanisa litakuelewaje ?
Usije tengwa bure
Naonaga video za wazungu me kaoa wake wawili wanawatenga sana .
Inategemea na locationπππ hapo hapo gheto ndio pazuri kumkaribisha mgeni, huko kwa apartment pa kishua sana
Ongea na Bi mkubwa kwanzaπππ Huko ulaya sasa, msikitini tunao hadi wanne
Mie nakuja tu kukusalimia na kuondoka πInategemea na location
Unaweza pata kwa 200k
Ili wageni wawe na chumba chao .
Utapaweza uswahilini hukuππππ hata mie uncle
Karibu mgeni ... Bibilia inatuambia tuwakirimuMie nakuja tu kukusalimia na kuondoka π
πππ bi mkubwa yupo busy kasafiri anarudi mwezi wa kwanzaUtapaweza uswahilini huku
Mara pah Bi mkubwa huyo kakutrack ..
Tena nakaa karibu na barabara
Punguza kuongea kihayaSahihi ,kabisa sema sasa najiuliza nitatoka na wangapi had nipate atakayenioa ? Bora nistick na huyo ilimradi ananipenda na kunijali
Wacha watu wawe spinsters tu .
Comparison is a thief of joy ... When you compare yourself with others , you will end up getting hurt basi .
Hapo unaposololea ni mnatoAchana na wige sophy, hawa jamaa nimegundua wana wivu na sisi
unanichania mkeka mie..
Lugha zako za kikabilaIt clearly shows how una mtazamo mbaya juu ya wadada .
I don't want to talk with you kuhusu Mungu maana najua maada haitoisha leo .
UnanivurugaaaThe bible clearly states that God designed marriage to reflect his love to the world .
Marriage is the first institution which God himself established .
I understand women must submit themselves to their men . that's clear ..
Ndo unapokoseaaa dear, usiingie kwenye mahusiano yako kisa kuogopa jicho la watu kwakooo, utafail kila times khaaaaah.Thank you , be blessed abundantly ..
Upweke utanimaliza aisee . naogopa kuelekea 30 huku
Oh yes!The way you ulivyoandika sio poa .. You are implying that women are not getting married because they're not obedient , wajeuri na wabishi .
Wakati that's not case in all times
Mnataka hao wanawake wawabebe mgongoni ?
ππ picha haina ushahidi wa kutosha mie single bana
acha nimtoe upweke mtoto mzuri huyo ππNdo unapokoseaaa dear, usiingie kwenye mahusiano yako kisa kuogopa jicho la watu kwakooo, utafail kila times khaaaaah.
Relaaaaaax
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wa kikeSema mie masuala ya kiimani hasa kwenyee dini siko huko. Niwaachie wenyewe, ila nimeuliza couz huwa nasikia Ndoa ni kusudio la Mungu, na hataki uzinzi.
Ila bas achia hapo hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila uongoHebu kwendaaaaa hukoooo,
Ivi unao wadanganyaa na unawapatiaga kweliiii. Mie sidanganyikii kamwee.
Sent using Jamii Forums mobile app