National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
π π π π Ndoa na kuwa wadhambi wapi na wapi tena.. Mie kama mwanaume, ndio nakupa siri...No one is perfect in this earth ..
We are all sinners and fall short of God's glory .
Lipa ada nikufundishe ππMambo gani hayoooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuambia wewe unayejudge watuπ π π π Ndoa na kuwa wadhambi wapi na wapi tena.. Mie kama mwanaume, ndio nakupa siri...
Sie wanaume: Tunapenda mwanamke msikivu, mtiifu na wasio wajuaji, .. mwanamke akiwa hivyo automatic mwanaume mwenye akili utaona ana sumbit kwenye utii wa mwanamke as a result of love π π
Unamisika piaI miss you guys[emoji2827]
acha story asee.. Plan ya Mungu sio ndoa za uzeeni.. Andiko lipo linalothibitosha ndoa ni ujanani na sio uzeeni.. ukiona una ndoa ya uzeeni kuna mahala uliyumba ila kwakua Mungu anatupenda basi anakupa cha uzeeni chenzako mpeane joto π π πWho knows , God has a plan for everyone . na anatuwazia mema sisi watoto wake.
I believe kuwa unaweza ukachelewa kupata kitu in life lakini kikaja kikadumu muda murefu na kukupa amani .
Niambie nani nime muhukumu na nime muhukumu kwa lipi ?Nakuambia wewe unayejudge watu
If you think Marriage is easy , why there are so many unfailed marriages ?π π π hakuna mahala nime judge.. Mungu anategemea watu kupata wenza katika ujana, ili wazee walee.. na sio uzeeni..
Unavopenda helaaa sasa, mwenyewe naziotaaa kila siku.Lipa ada nikufundishe [emoji4][emoji4]
Wewe ni mbishi kaa hapo mwenyewe .acha story asee.. Plan ya Mungu sio ndoa za uzeeni.. Andiko lipo linalothibitosha ndoa ni ujanani na sio uzeeni.. ukiona una ndoa ya uzeeni kuna mahala uliyumba ila kwakua Mungu anatupenda basi anakupa cha uzeeni chenzako mpeane joto π π π
π π π Na nani kakuambia ndoa ngumu ? Ndoa ngumu kama Mungu hayupo kwenye hiyo ndoa na haja ordain hiyo ndoa kuwepo.. challenges zingine zipo tu kwakua upo kwenye mwili wa damu na nyama.. Mnatishana huko kwamba ndoa ngumu ili ziwe za uzeeni ? kwaiyo uzeeni ndoa inakuwa rahisi ?If you think Marriage is easy , why there are so many unfailed marriages ?
I may not be old enough , kuna watu wanajutia kuoa .. Sasa wewe go on na kushangaa why watu wanapata wenza uzeeeni
π π π π hela lazima ipendwe tena sanaaa.. alafu inafatia mbususu kupendwa, ila ya kwanza helaUnavopenda helaaa sasa, mwenyewe naziotaaa kila siku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachaaa wee.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hela lazima ipendwe tena sanaaa.. alafu inafatia mbususu kupendwa, ila ya kwanza hela
Na mie nakuambia mpango wa Mungu sio ndoa za uzeeni.. Na maandiko yao yanayothibitisha hilo.. uzeeni penyewe hata kuzaa inaweza ikawa changamoto.. sasa kusudi la nendeni mkaujaze ulimwengu linatimiaje hapo ? ndoa ujanani bintiWewe ni mbishi kaa hapo mwenyewe .
What I'm telling you is easy kuwa sometimes unaweza ukakosa mwenza Wa ndoa ujanani ukaja kupata uzeeni huko .
Who knows mipango ya Mungu ?
π π π Na nani kakuambia ndoa ngumu ? Ndoa ngumu kama Mungu hayupo kwenye hiyo ndoa na haja ordain hiyo ndoa kuwepo.. challenges zingine zipo tu kwakua upo kwenye mwili wa damu na nyama.. Mnatishana huko kwamba ndoa ngumu ili ziwe za uzeeni ? kwaiyo uzeeni ndoa inakuwa rahisi ?
π π π hela kwanzaaa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachaaa wee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona kuna ndoa zina shida, na kuvunjika jua pia kuna ndoa zisizo na shida na hazivunjiki zimejaa amani tele upendo na furahaHaya wewe sema challenges , ni hadi uweze kuzimanage ...
Sio kutishana kwani hatuoni kuwa ndoa si ndoa tena .
Si kwa wanaume au wanawake .. Ni kuomba tu Mungu maisha yaende .
ndio maana ndoa ni mchakato na kwa walio komaa, kama hujakomaa huwezi manage ndoa..Haya wewe sema challenges , ni hadi uweze kuzimanage ...
Sio kutishana kwani hatuoni kuwa ndoa si ndoa tena .
Si kwa wanaume au wanawake .. Ni kuomba tu Mungu maisha yaende .
Dude ni karne ya 21 hii , dunia imeendela .. IVF , surrogacy na sasa kuna Artificial womb inakujaNa mie nakuambia mpango wa Mungu sio ndoa za uzeeni.. Na maandiko yao yanayothibitisha hilo.. uzeeni penyewe hata kuzaa inaweza ikawa changamoto.. sasa kusudi la nendeni mkaujaze ulimwengu linatimiaje hapo ? ndoa ujanani binti
Kwa hiyo hao wanaoachana daily hawajakomaaa eeh ?ndio maana ndoa ni mchakato na kwa walio komaa, kama hujakomaa huwezi manage ndoa..
Kweli kabisa, kwa imani ya Kristo Yesu alie mwokozi wa ulimwengu... Mungu hufurahi ndoa , na kweli Mungu hafurahii uasherati na uzinzi kwasababu vina athari kwa mtu, kwasababu ya pendo lake Mungu na huruma anatuelekeza tuache uasherati na uzinzi, tuwe na mtu mmoja ambae officially anatumbulikana ili kujiepusha na atahri za uasherati na uzinziSema mie masuala ya kiimani hasa kwenyee dini siko huko. Niwaachie wenyewe, ila nimeuliza couz huwa nasikia Ndoa ni kusudio la Mungu, na hataki uzinzi.
Ila bas achia hapo hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app