Okay thanks, nitagoogle kujua habari zake zaidi, pengine siku moja nikafika huko hususani kama kuna mambo ya kilimo (sisi wengine hatutupwi na jembe)...
Yeah, it feels good to go around and meet new stuff n peeps...

Kweli jamani hajakosea,, ningekuwa na uwezo ningekutumia picha za huyo cousin yangu wa kike uliyefanana naye na wala hata siyo mtu mzima sana yupo kwenye early 20s and she is beautiful..
Najua wanaume hampendi kufananishwa na wanawake lakini to tell you the truth you have a girlish face (no offence) japo haibadilishi haiba yako ya kiume see it doesn't matter how you look like but you are still a man