Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,263
- 183,157
Nini hio inayouzwa laki huko??Nasikia huku inauzwa hadi laki
Nini hio inayouzwa laki huko??Nasikia huku inauzwa hadi laki
Santo sana mkuu ✌️✌️!!Dah..hatari sana. Enjoy tu kwa kweli...
Shuntama atiNini hio inayouzwa laki huko??
Heeeeh! Mie sijawahi waza kutumia hizo mambo bora mtu anipende na atulie kwa ufahamu wake ila sio kutumia madawa!!Shuntama ati
Sahihi kabisaHeeeeh! Mie sijawahi waza kutumia hizo mambo bora mtu anipende na atulie kwa ufahamu wake ila sio kutumia madawa!!
Binafsi siwezi!! Kama wa kuswampa acha aswampe tu huko nje mwanaume huwezi kumchungaSahihi kabisa
Bora ubaki kutopendwa kuliko hivyo .
Naona wamama wanazipenda sana.
Kweli kabisa naona zote ni witchcraft hazina maana .Binafsi siwezi!! Kama wa kuswampa acha aswampe tu huko nje atajua mwenyewe!!
Binafsi siwezi!! Kama wa kuswampa acha aswampe tu huko nje mwanaume huwezi kumchunga
Kweli kabisa naona zote ni witchcraft hazina maana .
Mwanaume usimbanie banie ila usijue tu
Hahaha hapana mkuu Akili zinakua sio zake bana!muwe mnaturoga muda mwingine
Hongereni sanaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] zamani sanaaa yani , na tunakaribia shusha twin wetu mwezi wa tano
Ngoja nmuite baba chanja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njoo hapa Edward utanikuta [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua hata sijui nimecheka nn. KhaaaaahWatu wanakula ubwabwa Kimya Kimya mjomba hufai wewe! [emoji16] National Anthem
Mie wivu nilionao ndo kabisaKweli Kabisa dear kujua mnashare ile kitu inaumaaa sanaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakua namtuma akaninunilie udongo wa more,. Afu saa 7 usiku hyo.Hao wakaribu wake wajiandae kwa kweli ... Kwanza baba k .
Ahsanteeeeeeee!!! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Weuweeeh all the best kipenzi
Nakutakia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann dear??Mimi wazungu wameharibu hichi kichwa changu lol
Udongo wa more ndo ukoje huo lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakua namtuma akaninunilie udongo wa more,. Afu saa 7 usiku hyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna limbwata new version, unaweka dawa kunakooo, akiingiza mjegejee tyuuh imenasaaa, kwisha kabisaaaa.Kweli Kabisa dear kujua mnashare ile kitu inaumaaa sanaa!!!