Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Aaaah finalist sisi tushakua wazoefu, hatutasumbuka sana, labda ujauzito usumbue, hapo sawaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kwenu hapo ... Wakati tupo tunamalizia rafiki Yangu alipata ujauzito semester ya pili tena , nusu aandike barua ya kuacha masomo ..
Research ya MU hapana , wanakusumbua kichwa hadi utajuta kusoma .


!