cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
Clinic yako iko wapi? Nikujeeeenjoo nikupime mimba kama ipo au laah
Sent using Jamii Forums mobile app
Clinic yako iko wapi? Nikujeeeenjoo nikupime mimba kama ipo au laah
Simpatii picha kabesa!!
Utanitumia aseeeeeh shougaaa angu.Namie nitakutumia Shoss Angu Bk kwa mitishamba ndio penyewe sasa !!
Wee kumbe umeoa na ushafunga ndoaa?? Makubwaaaaa lolsi unaona mjomba wako katulizwaaab![]()
njoo hapa Edward utanikuta 😅😅
Mmenougaa sana mjomba kila la kheri katika safari yenu !! ✌️✌️siwezi weka picha og hapa 😅😅😅 nitauza ramani bure 😃😃😃
😅😅😅😅 zamani sanaaa yani , na tunakaribia shusha twin wetu mwezi wa tano
Poa tu, kwa kweli mjeida kakuficha hadi naona wivu😅🤣Sijambo wa vipaji za Siku mbilitatu??
Watu wanakula ubwabwa Kimya Kimya mjomba hufai wewe! 😁 National Anthem
Hao wakaribu wake wajiandae kwa kweli ... Kwanza baba k .Simpatii picha coca na hekaheka za mimba😁😁😁!
Yeahhh aandae mapemaa
Poa tu, kwa kweli mjeida kakuficha hadi naona wivu😅🤣
Yaniii acha tu niinjoy hadi likizo iishe nitakiona chamoto mbona!! 😁😁!! Nilivommisooo aweeeeeeh💃💃🤸🤸Poa tu, kwa kweli mjeida kakuficha hadi naona wivu😅🤣
Kwa nadharia hutaelewaKweli Sijui mjomba nipe maelekezoooo Nimfurahishe babaenuuu mjombaaa!
Weuweeeh all the best kipenziMie ntamaliza fresh na katoto kangu, katoto ketu na kenyewe katakua ka Genius. Tena katafata Taaluma yetu wazazi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shuntama eehNamie nitakutumia Shoss Angu Bk kwa mitishamba ndio penyewe sasa !!
Hapana mshana na kalandalugo shuntama sio poaaa!!
Nyie si anonymousWatu wanakula ubwabwa Kimya Kimya mjomba hufai wewe!National Anthem
Mimi wazungu wameharibu hichi kichwa changu lol
Nasikia huku inauzwa hadi lakiHapana mshana na kalandalugo shuntama sio poaaa!!
Dah..hatari sana. Enjoy tu kwa kweli...Yaniii acha tu niinjoy hadi likizo iishe nitakiona chamoto mbona!! 😁😁!! Nilivommisooo aweeeeeeh💃💃🤸🤸