Huu ni waya mkuu au gundi kwenye huo mfuniko wa injini?
Niliwahi kupanda Boeing ya ATC zamani kabla Magu hajanunua hizi mpya aisee ile ndege ilikuwa imechoka. Nilikuwa siti ya dirishani na hapo tu ubavuni karibu na mabawa kulikuwa na rundo la waya peupe tu linaning'inia. Nilisali kila aina ya sala yaani lakini hao tukatua Mwanza salama....
Happy holidays
View attachment 2449570